Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Nipo Dar es Salaam kwa shughuli zangu za kutafuta mkate.
Wiki hii nimetembelea majengo mawili. Moja ni Majengo ya BOT yaliyopo karibu na Mahakama Kuu na lingine ni jengo la Mpingo House ambapo zamani ilikuwepo Wizara ya Maliasili ya Utalii.
Kilichonishangaza jengo la BOT limejengwa kwa viwango vya juu kabisa vya ubora ila aliyesimamia ujenzi wake Mzee Liyumba alifungwaga jela.
Ila jengo la mpingo House limejengwa kwa viwango vya chini kabisa na kusema kweli halifai. Limeshachoka vibaya sana ila sijawahi kusikia mtu alishtakiwa kwa ujenzi wa jengo lisilo na kiwango.
Swali langu ilikuwaje tukamfunga mtu aliyejenga moja ya jengo bora kabisa nchini na kumuacha mtu aliyejenga moja ya majengo yaliyojengwa kwa kiwango cha chini kabisa nchini?