Ilikuwaje Chama akaweka posti hii huko X na kisha kuifuta?

Ilikuwaje Chama akaweka posti hii huko X na kisha kuifuta?

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
Hapa Chama alijisahau au ilikuaje [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787] baada ya muda akafuta Post hiyo
20230823_165839.jpg
 
Mkude anacheza namba ya nani? Alitemwa na Simba, Uto wakabeba.
Hata aliyemsajili mkude atakuwa ana matatizo kichwani.
Ukiwa mnafiki, uwe na kumbukumbu.
Sasa Mkude ana namba first eleven?

Halafu mlivyokuwa na roho Mbaya mliona mnamkomowa sasa Yanga imemchukuwa makusudi kuhokiwa carrier yake na apate riziki yake, na hiki ndicho watu wanahoji ni kwa nini Phiri hapewi nafasi?
 
Wabongo tujifunze kuwa waungwana. Unyanyapaa wa aina hii, haukubaliki hata kidogo. Usisahau ule msemo wa hujafa, hunaumbika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Imekuchomaaa kunakoo, na hujifichagii kuliaaa, haya futa machozi sasa.
 
Back
Top Bottom