Ilikuwaje Chama akaweka posti hii huko X na kisha kuifuta?

Mkude anacheza namba ya nani? Alitemwa na Simba, Uto wakabeba.
Hata aliyemsajili mkude atakuwa ana matatizo kichwani.
Ukiwa mnafiki, uwe na kumbukumbu.
Sasa Mkude ana namba first eleven?

Halafu mlivyokuwa na roho Mbaya mliona mnamkomowa sasa Yanga imemchukuwa makusudi kuhokiwa carrier yake na apate riziki yake, na hiki ndicho watu wanahoji ni kwa nini Phiri hapewi nafasi?
 
Wabongo tujifunze kuwa waungwana. Unyanyapaa wa aina hii, haukubaliki hata kidogo. Usisahau ule msemo wa hujafa, hunaumbika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Imekuchomaaa kunakoo, na hujifichagii kuliaaa, haya futa machozi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…