Ilikuwaje Kibaki kuzikwa Jumapili?

Ilikuwaje Kibaki kuzikwa Jumapili?

Fighter101

Member
Joined
Jan 8, 2022
Posts
46
Reaction score
64
kwa imani za kikatoliki maziko hayafanyiki jumapili

Tunaambiwa kibaki alikuwa mkatoLlki pure ilikuwaje akazikwa jumapili ufafanuzi tafadhali.
 
Back
Top Bottom