Ilikuwaje mshono ukapewa jina la pasua n'jambe?

Ilikuwaje mshono ukapewa jina la pasua n'jambe?

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Huu ni mshono wa wanaume au wakike na sababu gani uliitwa hivyo? Wabobezi wa historia mnaweza kutusaidia.

Kaunda suti najua ni sababu ya Rais wa Zambia ambao itakuwa sana na chunlai.
 
Wa kiume.
Kivipi ,inatakiwa udadavuzi ili tuelewe kwa kina ,hata wadada wana mishono sijui majina yake ila utaona mguo imechanwa akipiga hatua kama hujapwesa unaweza kuona paja.
 
Back
Top Bottom