S Shocker JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 1,958 Reaction score 3,890 Sep 27, 2023 #1 Huu ni mshono wa wanaume au wakike na sababu gani uliitwa hivyo? Wabobezi wa historia mnaweza kutusaidia. Kaunda suti najua ni sababu ya Rais wa Zambia ambao itakuwa sana na chunlai.
Huu ni mshono wa wanaume au wakike na sababu gani uliitwa hivyo? Wabobezi wa historia mnaweza kutusaidia. Kaunda suti najua ni sababu ya Rais wa Zambia ambao itakuwa sana na chunlai.
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 20,921 Reaction score 49,014 Sep 27, 2023 #2 Wa kiume.
S Shocker JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 1,958 Reaction score 3,890 Sep 28, 2023 Thread starter #3 Joannah said: Wa kiume. Click to expand... Kivipi ,inatakiwa udadavuzi ili tuelewe kwa kina ,hata wadada wana mishono sijui majina yake ila utaona mguo imechanwa akipiga hatua kama hujapwesa unaweza kuona paja.
Joannah said: Wa kiume. Click to expand... Kivipi ,inatakiwa udadavuzi ili tuelewe kwa kina ,hata wadada wana mishono sijui majina yake ila utaona mguo imechanwa akipiga hatua kama hujapwesa unaweza kuona paja.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 28, 2023 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...