ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Una hakika England inashabihiana na Uingereza au America na Marekani...umesema kama wenyewe wanavyojiita unauhakika Wareno wanaita nchi yao Portugal? Portugal ni Kiingereza na wala sio Kireno!
Jina la "Kingdom of Portugal" katika Kireno ni "Reino de Portugal".
Sasa naona katika translation hapo watu wakachukua "Reino" wakaiswahili ndiyo ikaja kuwa "Ureno".
hivi jina lako hilo lina uhusiano na wewe?!!!!!
Kama sijakusoma vizuri vile mkuu!!Lakini kama una maana hiyo naweza kujibu kuwa ndiyo maana sisi tuliozaliwa miaka hiyo majina yetu tulikuwa tunapewa kulingana na tukio lililopo wakati huo!!
Uingereza imetoholewa kutoka neno Anglo!
Msumbiji (literally Nchumbiji) na Mozambique je? :lol::embarassed2::eyebrows:
Lingine najiuliza eti kwa nin mshare wa saa ukiwa kwenye 1 tunasema saa 7.Na 12 tunaita saa 6.Nan kauleta huu ustaarabu kwa nin isiwe 1 iwe saa 1.PUMBAFU MAMBO MENGINE BWANA.
Jina la "Kingdom of Portugal" katika Kireno ni "Reino de Portugal".
Sasa naona katika translation hapo watu wakachukua "Reino" wakaiswahili ndiyo ikaja kuwa "Ureno".
Halafu kweli hivi hii ilikuwaje?mbona wanalazimishe kufanya maisha magumu wakati njia fupi ipo?
Lingine najiuliza eti kwa nin mshare wa saa ukiwa kwenye 1 tunasema saa 7.Na 12 tunaita saa 6.Nan kauleta huu ustaarabu kwa nin isiwe 1 iwe saa 1.PUMBAFU MAMBO MENGINE BWANA.
Msumbiji limotolewa katika hiyo Mozambique (Moza mbiki = Msu -Mbiji, unatujua tena Waswahili kwa kutohoa. Unajua neno gari linatukana na car?).Msumbiji (literally Nchumbiji) na Mozambique je? :lol::embarassed2::eyebrows:
msumbiji limotolewa katika hiyo mozambique (moza mbiki = msu -mbiji, unatujua tena waswahili kwa kutohoa. Unajua neno gari linatukana na car?).
Neno lenyewe mozambique lilipatikana kutokana na mfanyabiashara wa kiarabu mossa al bique (musa al big or mossa al bique or mussa ben mbiki). Chungulia kwenye ya jina hilo kwenye wikipedia sehemu ya etymology
Msumbiji limotolewa katika hiyo Mozambique (Moza mbiki = Msu -Mbiji, unatujua tena Waswahili kwa kutohoa. Unajua neno gari linatukana na car?).
Neno lenyewe Mozambique lilipatikana kutokana na mfanyabiashara wa kiarabu Mossa al Bique (Musa Al Big or Mossa Al Bique or Mussa Ben Mbiki). Chungulia kwenye ya jina hilo kwenye Wikipedia sehemu ya Etymology