Shiboub km sikosei alimaliza mkataba na alipata deal nje ya bongo.Viongozi wa Simba wanajali 10% tu kwakuwa wanategemea ajira.
Kiongozi wa mpira anatakiwa awe mtu mwenye pesa zake.
Ndiomana kapteni anasajiriwa kila mwaka kwakuwa anatoa 10% bila shida kwa Mango Kimambi na wenzake.
Utamwanzaje kumwambia Shibobo akupe 10%?
Nadhani nimeeleweka
Hili ndilo lililo mwondoa Okra na Shibobu.
Na Fransis Kahata.
Ana u KDB ndani yakeEti shiboub ni kdb mtupu, wabongo hamwezi kuniangusha