chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
konyagi inawezaje kuwa chakula na imeandikwa kinywaji safiPombe kwetu kitamaduni ni kinywaji kitakatifu , achana na hayo mavijana ya sasa yanakunywa pombe chafu mpaka wanaota funza😅
Waganga uchagani kwa sasa wapo mmoja mmoja kibosho na rombo na ni majambazi tu😅 waganga wangi wanakula kwenye migongo ya vilaza tu
Unajua maendeleo ya teknolojia na harakati za maisha vimetukosesha vingi vizuribinafsi naangalia sana mapito yangu zamani na sasa, Kuna shughuli zingine huwa ziko wazi ukifanya vizuri unapata zaidi
Situmii konyagikonyagi inawezaje kuwa chakula na imeandikwa kinywaji safi
tiba ya asili kwa mifupa ni nini haswa maana nimeshatumia dawa nyingi za kisuna ila bado tatizo liko pale paleBasi nadhani Mimi nilikuwa mganga by default.. Maana niliyoyafahamu na kuyafanya wengi walikuwa hayawawezi kisha nikaamua kuondoka huko kwa hiari ya moyo
Unapigania chama mno😅 wapare uganga wenu ni wakuuza ngetwa kwa kutibu magonjwa 320😅Unajua maendeleo ya teknolojia na harakati za maisha vimetukosesha vingi vizuri
Wengi siku hizi hawajaandaliwa kimaisha hivyo hawajui mengi.. Lakini kwenye maisha kuna vipindi vya kuanguka na kukutana na magumu mengi.. Na ndio hapo matapeli huingilia kati
Waganga feki
Manabii feki
Mitume feki nk
ni kweli kwene maisha yana kupanda na kushuka ila kuna mambo nje ya kupanda na kushuka yapoUnajua maendeleo ya teknolojia na harakati za maisha vimetukosesha vingi vizuri
Wengi siku hizi hawajaandaliwa kimaisha hivyo hawajui mengi.. Lakini kwenye maisha kuna vipindi vya kuanguka na kukutana na magumu mengi.. Na ndio hapo matapeli huingilia kati
Waganga feki
Manabii feki
Mitume feki nk
Mambo gani?ni kweli kwene maisha yana kupanda na kushuka ila kuna mambo nje ya kupanda na kushuka yapo
Hizo dawa za kisuna zimechanganyikana na imani sitaweza kuzizungumzia hapa lakini hazina nguvu kiviletiba ya asili kwa mifupa ni nini haswa maana nimeshatumia dawa nyingi za kisuna ila bado tatizo liko pale pale
Mbona hata sijawahi tumia akili 😅Napendaga unavyotumia akili zako zote na za akiba kutetea Pombe wewe ni hazina kubwa ya TBL na TDL na wenzao.,🤣🤣
Kupata na kukosaMambo gani?
nami nataka kuachana nayo piaSitumii konyagi
Kuna link nimeweka huko juu zipitieni kweli kwene maisha yana kupanda na kushuka ila kuna mambo nje ya kupanda na kushuka yapo
Hayo ni mambo ya kawaida tu bwasheeKupata na kukosa
Sikushauri😁nami nataka kuachana nayo pia
Sasa wengi hawana huo ufahamuHayo ni mambo ya kawaida tu bwashee
Mimi sijawahi ionja kabisa harufu yake tu mwili unasisimkanami nataka kuachana nayo pia
Unapigania chama mno😅 wapare uganga wenu ni wakuuza ngetwa kwa kutibu magonjwa 320😅
shukrani mzee wanguKuna link nimeweka huko juu zipitie
Waache wapigwe, sasa mtu analewa mtaji unaisha halafu ana amini amelogwa tutamsaidia vipi?Sasa wengi hawana huo ufahamu
Nilisha usoma , nyuzi zako zote lazima nizisome bwashee 😅Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
- Mkoba mkuu mmoja
- Mkoba wa kati
- Mkoba mdogo
Kilinge kina kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho...
- Mshana Jr
- Replies: 304
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko