Back N days
JF-Expert Member
- Apr 9, 2026
- 350
- 914
Hivi chale huwa zinaweza kufutwa?Epuka kabisa kuchanjwa, hiyo ni mihuri ya kiroho.. Kuna vitu na mimea ya asili ukivitumia huhitaji chale hata moja
Mfano ukifanikiwa kupata mafuta ya simba , ukaogea chumvi kisha ukajipaka kwa siku 7 mfululizo bila kujitia najisi yoyote umeula
Hahahaha😂Nilisha usoma , nyuzi zako zote lazima nizisome bwashee 😅
Yes kuna utaalam siku hizi kwa wale wafuta tatooHivi chale huwa zinaweza kufutwa?
Makovu mapya yatatengezwa🤔Yes kuna utaalam siku hizi kwa wale wafuta tatoo
Duuh kwahyo chale yoyote mzee...?Tafsiri ya chale kiroho inategemea sana imani, utamaduni, na mazingira ambamo chale hizo zimefanywa. Katika mtazamo wa kiroho, chale huonekana kama alama ya agano, wakfu, au mawasiliano kati ya ulimwengu wa mwili na ulimwengu wa roho.
tafsiri kuu za kiroho:1. Alama ya Agano na WakfuKiroho, chale huchukuliwa kama "muhuri." Unapochajwa chale, unakuwa umewekwa wakfu (dedicated) kwa roho fulani, iwe ni roho za mababu, majini, au nguvu nyingine za giza. Damu inayotoka wakati wa kuchanjwa hutumika kama kiungo cha kuunganisha mtu na ulimwengu wa roho.
Nasikia mafuta ya Simba unaogopeka kila Kona kama Simba mwenyewe.Wese la simba? Masiala hayo !!
Hii kinga ya mafuta ya simba watumie watu ambao tayari wapo kwenye system ya vyeo, wana miradi ambayo inawahitaji kusimamia watu, kiufupi wawe tayari wamejipaga na wanahitaji kuheshimika na kulinda walichonacho.Epuka kabisa kuchanjwa, hiyo ni mihuri ya kiroho.. Kuna vitu na mimea ya asili ukivitumia huhitaji chale hata moja
Mfano ukifanikiwa kupata mafuta ya simba , ukaogea chumvi kisha ukajipaka kwa siku 7 mfululizo bila kujitia najisi yoyote umeula
Ulitaka akubali tu kisahisi.? We tafuta mwanamke yoyote mwenye chale ni lazima asingizie kuwa alikuwa anaumwa sana.Duuh kwahyo chale yoyote mzee...?
Mana kuna manzi nilimuona ana chale kama tatu hvi mgongoni sema anasema kuna kipindi alikuwa anaumwaga sana... Ila kuhusu kwenda sangoma alikataa
Chale zinavyofanya kazi ni kama mshalw wa sumu, hata ukikuchubua kidogo ile sumu bado inaweza kuzunguka mwili mzima ana sehemu hiyo ta mwili.Hivi chale huwa zinaweza kufutwa?
Makovu yanawezaje kufutika 🤔Chale zinavyofanya kazi ni kama mshalw wa sumu, hata ukikuchubua kidogo ile sumu bado inaweza kuzunguka mwili mzima ana sehemu hiyo ta mwili.
Kufuta kovu hakuondoi kilochoingia, unless kama kuna njia nyingine.
Makovu ya chale yanaweza kufutika kwa kufuata medical procedure kama yanavyofutwa makovu mengine.Makovu yanawezaje kufutika 🤔
Na bila hivyo tusingekaa pamoja mpaka leo,mke wangu ni aina ya wale wanawake chakaramu yan bila kinyamazongo asingeniskiliza tungeshaachana maybeni Mara chache kuskia mwanaume anafanya hivi, ila hongera kuna Muda mambo hayapo kama yanavoonekana
ni wataalamu wa mambo ya kijamii na kiroho upande wa gizaNawachukia sana nyinyi, na mnavopamba jina. Eti "mtaalamu", kwani kusema "MGANGA".
ni wataalamu wa mambo ya kijamii na kiroho upande waNawachukia sana nyinyi, na mnavopamba jina. Eti "mtaalamu", kwani kusema "MGANGA".
usiache kunitag mkuuIpo siku nitasimulia mambo ya mlimani huko umalila nilipokimbia uchi usiku wa manane baada ya kumuona chatu kwa macho yangu kisa mali za rafiki yangu aliyefukuzwa kazi
Pamoja mkuu]
usiache kunitag mkuu
HapanaMakovu mapya yatatengezwa🤔