Wakuu kwema?
Nakumbuka ilikuwa 2010 nikiwa kidato cha tatu baada ya kutoka prepo tulikuwa tunaenda saa nne kulala. Bwenini tulikuwa tunakaa watu nane wanne chini na juu watu wanne pia.
Basi bhana mida ya saa sita nilibanwa kwenda kukojoa nilivyosituka nikasikia jamaa tuliekuwa tunakaa karibu anatoa milio Kaa mtu anaye fanya mapenzi nilisha ngaa kweli na nikashindwa kujizuiana nikajikuta nimecheka, Jamaa alistuka akaanza kunilaum eti nimemuharibia raha zake.
Baada ya hapo nilimuuliza alikuwa anafanya nini akanielezea kila kitu na akanishawishi na mimi nifanye na sitakuja kujutia! Basi bhana na mimi nikashawishika nikaingia kwenye mfumo😂😂😂
Raha niliyosikia nilisema kweli nimechelewa kwa nini hukuniambia mapema! Kuanzia siku hio ndo ukawa mchezo wangu.
Ilifikia mahali hata kama nina miadi ya kukutana na mwanamke napiga kamoja ndo naenda kukutana na huyo mwanamke Ili angalau nisiwahi kumwaga.😌😌😌😌
Aisee nimeteseka kuacha lakini kuanzia mwaka juzi sijapiga tena. Hope ndo nimejitoa rasimi kwenye chama chetu cha CHAPUTA.
Vipi wewe mwana JF ilikuwaje ukanasa kwenye huu uraibu?