katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
umemaliza kila kitu mkuu nazani uzi ungefungwa tu haya ni maoni yangu 🤪🤪Mchumba hasomeshwi
Vs
Mchumba hafuliwi
Sasa mtu unafua lazima upitishe mifuko kutoa vitu vya muhimuKoma mnachunguza chunguza sana!!!
Kazi yako hapo ni mapenzi na sio mpelelezi! Hivyo epuka kufanya mambo mengine yatakayopelekea upoteze kazi yako!!
Kasema kweliumemaliza kila kitu mkuu nazani uzi ungefungwa tu haya ni maoni yangu 🤪🤪
Yeye alizimia huku haja uliza nini kimetokeaJamaa alikuta KY Jelly kwenye pochi ya mkewe, jamaa akazirai, na kuanzia hapo sukari na pressure vikamuandama Hadi mauti.
Acheni kuchungulia mapochi na simu za wake zenu mtapofuka macho
Poleeewife alikuta ndom kwa nguo, alipouliza nikapata kigugumizi alianza kuropoka kwa uchungu sana nilikmya mda kisha ikabidi nijishushe kwa kumuomba samahan ilichukua siku 3 kunielewa, kwa sasa nipo makini sana hawez kuninasa
Ulikuwa ni muda sana sasa sijui yuko wapi.Shetani hakimbiwi mama bali hukemewa hadi anakimbia ulifanya kosa kumkimbia mchumba wako, rudi haraka kwa mchumba ukamkemee hadi alegee
Ndio nimejua hilo siku hiziMchumba hasomeshwi
Vs
Mchumba hafuliwi
Ungekatoa kaboksi mfukoni tu ukaendelea kufua!!Sasa mtu unafua lazima upitishe mifuko kutoa vitu vya muhimu