katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
- Thread starter
-
- #21
Nani kapotea ??Mbona umepotea sana, bado upo Arusha?
Hadi tujue?Ulitaka asitumie kondomu uko pembeni?
Yeye mtoto tuache hilo tuangalie the fact ni amecheat na sio poaUngemuuliza aisee
Labda aliokota box hilo.
Bahati mbayaHadi tujue?
Basi abaki na hali yake .Bahati mbaya
Mbona weye uliondoka na hukuuliza kilichotokeaYeye alizimia huku haja uliza nini kimetokea
Tutakuwa tumewanyima wengine uhuru wa kujieleza mkuuumemaliza kila kitu mkuu nazani uzi ungefungwa tu haya ni maoni yangu [emoji2957][emoji2957]
Ndio ukae ukielewa hivyoNdio nimejua hilo siku hizi
Nani kapotea ??