Ilinibidi kupitiliza kituo baada ya kuhisiwa mwizi

Memtata

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
587
Reaction score
1,863
Siku moja nimepanda bajaji kwenda eneo fulani nilikuwa nimekaa na mdada mmoja maneno mengi sana ambaye inaonekana anajuana na dereve bajaji au wamezoeana muda mchache.

Nikiwa hatua chache kufika sehemu nayotakiwa kushuka kabla sijamwambia dereva anishushe mara namuona mdada anahangaika akisakua mkoba wake na kujisachi, kwa wenge akasema "Simu yangu siioni!!.... Nimepoteza simu yangu!" Daah!.... Zoezi langu la kutaka kumwambia dereva anishushe liliishia hapa kwa muda. Kwani ungekuwa wewe ungeshuka ndugu ili mdada akujazie watu?

Basi mwanaume nikakomaa bajaji ikichanja mbuga, mdada akamgeukia dereva akamwambia "Hebu niazime simu yako nibeep simu yangu nilikuwa nayo hapahapa!" Aibu kweli unafikiri kwanini hakuniomba mimi simu ajibipu!? 😂😂 Nadhani alihisi mimi ndio mwizi.

Wakati ananyanyuka kuchukua simu ya dereva bajaji Mungu si Athumani simu yake ikaanguka toka kwenye nguo zake, na alikuwa amejipigilia nguo haswaa kama kurasa za kitabu kama mjuavyo wanawake wa kiswahili mapigo yao (baadhi yao lakini) 🤣

Muda huohuo nikamuomba dere anishushe, nikashuka na kwenda bar ya jirani kupoza koo

mtata.jpg
 
View attachment 2156840
bila picha ya bajaji hizi ni chai
 
Basi mwanaume nikakomaa bajaji ikichanja mbuga, mdada akamgeukia dereva akamwambia "Hebu niazime simu yako nibeep simu yangu nilikuwa nayo hapahapa!" Aibu kweli unafikiri kwanini hakuniomba mimi simu ajibipu!? [emoji23][emoji23] Nadhani alihisi mimi ndio mwizi.

Wakati ananyanyuka kuchukua simu ya dereva bajaji Mungu si Athumani simu yake ikaanguka toka kwenye nguo zake, na alikuwa amejipigilia nguo haswaa kama kurasa za kitabu kama mjuavyo wanawake wa kiswahili mapigo yao (baadhi yao lakini) [emoji1787]

Muda huohuo nikamuomba dere anishushe, nikashuka na kwenda bar ya jirani kupoza koo

View attachment 2156840
Ingawa ipo jukwaa la utani ila inaleta uhalisia sana.

Ulitumia akili kukabiliana na hiyo hali
 
Sasa wewe ulishindwa kuizima?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji869][emoji869]daah sikujaamini nimecheka kabla ya gizaa hata hivyo jamaa una chembe za wi sio kwa plan hiyo ya kukausha mpaka simu ipatikane asingeipata haikosi ungeenda nae mpaka kwake....
 
[emoji28]ungeshuka sijui tu aiseh

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Siku moja nimepanda bajaji kwenda eneo fulani nilikuwa nimekaa na mdada mmoja maneno mengi sana ambaye inaonekana anajuana na dereve bajaji au wamezoeana muda mchache.

Nikiwa hatua chache kufika sehemu nayotakiwa kushuka kabla sijamwambia dereva anishushe mara namuona mdada anahangaika akisakua mkoba wake na kujisachi, kwa wenge akasema "Simu yangu siioni!!.... Nimepoteza simu yangu!" Daah!.... Zoezi langu la kutaka kumwambia dereva anishushe liliishia hapa kwa muda. Kwani ungekuwa wewe ungeshuka ndugu ili mdada akujazie watu?

Basi mwanaume nikakomaa bajaji ikichanja mbuga, mdada akamgeukia dereva akamwambia "Hebu niazime simu yako nibeep simu yangu nilikuwa nayo hapahapa!" Aibu kweli unafikiri kwanini hakuniomba mimi simu ajibipu!? 😂😂 Nadhani alihisi mimi ndio mwizi.

Wakati ananyanyuka kuchukua simu ya dereva bajaji Mungu si Athumani simu yake ikaanguka toka kwenye nguo zake, na alikuwa amejipigilia nguo haswaa kama kurasa za kitabu kama mjuavyo wanawake wa kiswahili mapigo yao (baadhi yao lakini) 🤣

Muda huohuo nikamuomba dere anishushe, nikashuka na kwenda bar ya jirani kupoza koo

View attachment 2156840
Ndo wew huyo big up uoga Kama uoga ukapiga bia mwenyew ukajiona ni Mwamba,Maake kwanza apa nichekee😂😂😂😂
 
Siku moja nimepanda bajaji kwenda eneo fulani nilikuwa nimekaa na mdada mmoja maneno mengi sana ambaye inaonekana anajuana na dereve bajaji au wamezoeana muda mchache.

Nikiwa hatua chache kufika sehemu nayotakiwa kushuka kabla sijamwambia dereva anishushe mara namuona mdada anahangaika akisakua mkoba wake na kujisachi, kwa wenge akasema "Simu yangu siioni!!.... Nimepoteza simu yangu!" Daah!.... Zoezi langu la kutaka kumwambia dereva anishushe liliishia hapa kwa muda. Kwani ungekuwa wewe ungeshuka ndugu ili mdada akujazie watu?

Basi mwanaume nikakomaa bajaji ikichanja mbuga, mdada akamgeukia dereva akamwambia "Hebu niazime simu yako nibeep simu yangu nilikuwa nayo hapahapa!" Aibu kweli unafikiri kwanini hakuniomba mimi simu ajibipu!? [emoji23][emoji23] Nadhani alihisi mimi ndio mwizi.

Wakati ananyanyuka kuchukua simu ya dereva bajaji Mungu si Athumani simu yake ikaanguka toka kwenye nguo zake, na alikuwa amejipigilia nguo haswaa kama kurasa za kitabu kama mjuavyo wanawake wa kiswahili mapigo yao (baadhi yao lakini) [emoji1787]

Muda huohuo nikamuomba dere anishushe, nikashuka na kwenda bar ya jirani kupoza koo

View attachment 2156840
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulitumia akili aisee 😂😂 usikute aliona una dalili za kushuka na yawezekana huo ndo mchezo wake.
 
Siku moja nimepanda bajaji kwenda eneo fulani nilikuwa nimekaa na mdada mmoja maneno mengi sana ambaye inaonekana anajuana na dereve bajaji au wamezoeana muda mchache.

Nikiwa hatua chache kufika sehemu nayotakiwa kushuka kabla sijamwambia dereva anishushe mara namuona mdada anahangaika akisakua mkoba wake na kujisachi, kwa wenge akasema "Simu yangu siioni!!.... Nimepoteza simu yangu!" Daah!.... Zoezi langu la kutaka kumwambia dereva anishushe liliishia hapa kwa muda. Kwani ungekuwa wewe ungeshuka ndugu ili mdada akujazie watu?

Basi mwanaume nikakomaa bajaji ikichanja mbuga, mdada akamgeukia dereva akamwambia "Hebu niazime simu yako nibeep simu yangu nilikuwa nayo hapahapa!" Aibu kweli unafikiri kwanini hakuniomba mimi simu ajibipu!? [emoji23][emoji23] Nadhani alihisi mimi ndio mwizi.

Wakati ananyanyuka kuchukua simu ya dereva bajaji Mungu si Athumani simu yake ikaanguka toka kwenye nguo zake, na alikuwa amejipigilia nguo haswaa kama kurasa za kitabu kama mjuavyo wanawake wa kiswahili mapigo yao (baadhi yao lakini) [emoji1787]

Muda huohuo nikamuomba dere anishushe, nikashuka na kwenda bar ya jirani kupoza koo

View attachment 2156840
Pole sana Mkuu.Lkn ungemtongoza tu huyo dada, ukute alikuwa amekuelewa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji869][emoji869]daah sikujaamini nimecheka kabla ya gizaa hata hivyo jamaa una chembe za wi sio kwa plan hiyo ya kukausha mpaka simu ipatikane asingeipata haikosi ungeenda nae mpaka kwake....
Wewe ni mfipa??.
 
Back
Top Bottom