SoC04 Ilipoishia leo Tanzania

SoC04 Ilipoishia leo Tanzania

Tanzania Tuitakayo competition threads
Joined
May 24, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Maono ya mtu siyo lazima yatimizwe na mubeba maono na hakuna anaye weza kuyabeba maono ya mtu.

Uharisia wa ndoa yako ni maisha ya ujana,naamu Tanzania ya leo ni marudio ya kesho kwa kizazi kijasho zikitunzwa tamaduni zetu, mbuga zetu, madini yetu, utu wetu, mavazi yetu,uoto wetu, haki yetu, makazi yetu.

Ndoto na maono yapo tayari tangu enzi za mababu zetu ni wakati sasa wakuamini katika vijana ili watimize maono hayo na ndoto hizo.

Kama hakutakuwa na kumbukumbu za alipoishia Mwalimu Julias Nyerere, Dr Ally Hassan Mwinyi, Dr Jakaya Mrisho Kikwete,Benjamini Mkapa, Dr John Pombe Magufuli, Dr Samia suluhi Hassani hatufika katika tanzania tuitakayo lazima maono ya wazee wetu yawafanyiwe kazi yawezekana wamekufa kwa kupambania ndoto hizo na maono hayo.

"Tanzania ni ya watoto wetu kuanzia msingi hadi paa"
ILIP
 
Upvote 2
Back
Top Bottom