Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Friendship meaning Communication/Sharing pasipo stori hakuna urafiki mtakuwa mnasomana tu, sijui hili jambo ni kwa wanawake wote au laa unajaribu kumfanya mpenzi wako kama rafiki yako.
Una-share nae stori nyingi sometimes unajaza uongo mwingi ili kurefusha maongezi lakini imekuwa tofauti kwa mtu wangu yeye nikimpa stori ya kitu fulani anahisi labda kama namcheat hata ukimuomba msamaha bado anaongea mpaka unaamua kuzila.
Hivi mnafanyaje wengine ili kitengeneza uhusiano imara?