Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
shukraniDesturi inasema....
Mwanamke ndie anapaswa aongee zaidi then kazi ya mwanaume ni kumsikiliza. Sasa ukikuta ipo kinyume kama hivyo wewe basi lazima iwe tafrani...😛
Lakini pia ukiwa mwanaume unakasirishwa kwa mambo madogo kama hayo, basi tambua kwamba huyo mwanamke amekuzidi akili na hamuwezi elewa tena.
Well saidDesturi inasema....

gudMwenza wako,mkeo, mmeo, SIO RAFIKI YAKO - Usije ukajidanganya..utapata tabu.
Huyo ni MWENZA,ni zaidi ya rafiki - so huwezi ukaleta stori za uongo uongo - rafiki ni mtu ambaye haumuhusishi kila kitu pia - mwenza wako hata bila kumshirikisha anajua tu by - default - Mwenza haihitaji acting - but rafiki unaweza act...mwenza muda mwingi uko naye - huwezi pretend anything.
Mkeo/Mwenza usimlinganishe na karafiki kako ka chuo - ukataka kumtreat hivyohivyo - utapigwa KO mapema sana.