Ilishawahi kukutokea?

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,130
Unakuta mtu kakutenda vibaya na majigambo juu but bado unampenda unashauriwa mpaka na wachungaji umsahau pamoja na mabaya mengi alokutendea bado moyoni hatoki na kuona hutakuja kupata kama yeye au zaidi yake au hudhani kama utakuja kufurahi kama ukiishi bila yeye.

Jamani ni wote huwa inawatokea au nikujiendekeza tu.
 
Inategemeana na muhusika mwenyewe hakuna kanuni maalum, kuna baadhi ya watu inawatokea na kuna baadhi ya watu wengine mkimalizana, mmemalizana
 
Kupenda kubaya jamani?Yani unapoteza kabisa network kichwani
 
Naumia kwa mda fupi then nikipata mwingine mambo yanakuwa mazuri.
 
Iyoo hata mimi ilinikuta nlimpenda mtu kiasi kwamba nliona ulimwengu wote wangu loh alikuja nlitea madudu sina hamu na stomsahau kamwe mwehuu yuleee
 
Ndio maana kusahau kuliumbwa mtu utaumi sana pale mwanzo lakini baadae ukiamua kuachilia unasahau kabisa na unaweza kumpata mtu mwingine ukampenda tena kuliko yule lakini kutokuachilia kumbeba mtu moyoni kunasababisha hayo
 
Haijawahi kunitokea....

Labda kwa kuwa sina-ga mahaba nipotezee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…