Ya kwangu anaitumia Jane Lowassa lakini sijawahi kumuuliza.
Mie Status za whatsapp kuna lijamaa limeiba picha sijui wapi (situmii IG,FB) nahisi kuna mtu alinipost status lenyewe likaiba picha likapost kwake.. Na caption kaelezea kuwa ni yeye.. Kwa kuw pic zangu huwa naficha sura basi ukawa mtindo wake.. Hapo kuna Manzi anamchora tu akaw ananiambia "kuna jamaa linajfanya ndo wew" ah nabak kukausha tu.. Sio mar moja au mbili.. 2jitahd ku2mia pic zetu maana sheria ya kimtandao Cyber law act ipo na ni pana! Utashtakiwa kosa kubwa mno.. ELIMU wengi hatuna.
Ah show off nyingi sometimes wanakera sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hiyo huwa inawezekana vipi, unatumia picha ya msela halafu siku ya kuonana unajiaminisha tu kuwa demu ni kipofu..?