Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa umevaaje?
Picha tafadhaliiii......Kupendeza ni kila siku hata nikivaa kanga.
Ungetuwekea na picha ili nasi tuone ulivyopendeza
Kuna siku mwenyewe nimetinga viwalo nikajikubali basi nikampita chizi fresh mmoja hivi, basi wakati napita akasema 'hii mitumba siku hizi inasaidia'.......🙂🙂🙂Kuna siku imeshanitokea ukapiga pamba hadi ukajikubali mwenyewe?
Leo imenitokea. Sijafika nnapokwenda ila sitashangaa kuambiwa nimependeza.
Ulitamani hata umpige ila sema tu ni chiziKuna siku mwenyewe nimetinga viwalo nikajikubali basi nikampita chizi fresh mmoja hivi, basi wakati napita akasema 'hii mitumba siku hizi inasaidia'.......🙂🙂🙂
Ha haaa kwani uongo si inatusaidia kweli[emoji85]Kuna siku mwenyewe nimetinga viwalo nikajikubali basi nikampita chizi fresh mmoja hivi, basi wakati napita akasema 'hii mitumba siku hizi inasaidia'.......🙂🙂🙂
Hahahahahahaha duuuKuna siku mwenyewe nimetinga viwalo nikajikubali basi nikampita chizi fresh mmoja hivi, basi wakati napita akasema 'hii mitumba siku hizi inasaidia'.......🙂🙂🙂