Ulikuwa umevaaje?
Picha tafadhaliiii......Kupendeza ni kila siku hata nikivaa kanga.
Ungetuwekea na picha ili nasi tuone ulivyopendeza
Kuna siku mwenyewe nimetinga viwalo nikajikubali basi nikampita chizi fresh mmoja hivi, basi wakati napita akasema 'hii mitumba siku hizi inasaidia'.......πππKuna siku imeshanitokea ukapiga pamba hadi ukajikubali mwenyewe?
Leo imenitokea. Sijafika nnapokwenda ila sitashangaa kuambiwa nimependeza.
Ulitamani hata umpige ila sema tu ni chiziKuna siku mwenyewe nimetinga viwalo nikajikubali basi nikampita chizi fresh mmoja hivi, basi wakati napita akasema 'hii mitumba siku hizi inasaidia'.......πππ
Ha haaa kwani uongo si inatusaidia kweli[emoji85]Kuna siku mwenyewe nimetinga viwalo nikajikubali basi nikampita chizi fresh mmoja hivi, basi wakati napita akasema 'hii mitumba siku hizi inasaidia'.......πππ
Hahahahahahaha duuuKuna siku mwenyewe nimetinga viwalo nikajikubali basi nikampita chizi fresh mmoja hivi, basi wakati napita akasema 'hii mitumba siku hizi inasaidia'.......πππ