Ila kwa Magufuli katiba ilikua bora si ndiyo?GTs,
Yule kijana mtumishi wa Mungu wa Arusha aliyeoneshwa na Mungu Samia atakuwa ana fanya mambo ya kitoto ndiyo haya tunayaona. Yaani wenye akili wamekaa kusikiliza pumba na ujinga ujinga. Can you imagine First Class ya Economic inasema eti walihongwa hela na inasadiki.
Kwa ujumla katiba yetu ni ya kijinga sana haipaswi kuendelea ifumuliwe kama sasa huyu Mama yetu alipaswa awe jela
Kwa Magufuli mliimba inafaa.Katiba hii haijawahi kuwa nzuri. Inatoka uwezekano hata kichaa kuwa rais na akafanya anayotaka
Nyerere aliwahi kusema kwa katiba iliyopo endapo siku moja kichaa akashika anaweza akaleta madhara makubwa. By kichaa alimaanisha mtu mwenye uwezo duni wa kufikiri na kureason.Kwa Magufuli mliimba inafaa.