Ilivyokuwa uzinduzi wa Profesa Jay Foundation, Desemba 10, 2023

Ilivyokuwa uzinduzi wa Profesa Jay Foundation, Desemba 10, 2023

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Desemba 10, 2023 alimuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Profesa Jay na Kampeni Mahususi ya Kuchangia Wagonjwa wa Figo nchini inayofanyika Jijini Dar es Salaam.

GBAnGv3XAAEfYsM.jpeg

GBAnJ3fWMAAnII3.jpeg

GBAnLb5WkAA7_M6.jpeg

GBAnMwdW8AAKe7s.jpeg

Snapinsta.app_408898942_1421327781929509_1491055717246800098_n_1080.jpg

Snapinsta.app_409162666_1071630704256572_7634540970537383495_n_1080.jpg

Snapinsta.app_409204343_318402237684104_4637443828027655477_n_1080.jpg
 
Haya ndio maisha yenye alama kwa Msanii anayestahili kuitwa kioo Cha jamii. Sio kama wale wanao shindana kutuonesha ngono zao na maisha ya ufahari.
 
Haya ndio maisha yenye alama kwa Msanii anayestahili kuitwa kioo Cha jamii. Sio kama wale wanao shindana kutuonesha ngono zao na maisha ya ufahari.
Jana nimeona clip moja ya msanii almasi, akirusha madola huku kayashikilia mkononi
Anawarushia madem matakoni huku wanamkatikia [emoji1]

Ova
 
Back
Top Bottom