[h=2][/h]
Kuna mjeda alijitwanga risasi yeye na mke mdogo....
Mamno haya haya ya wanaume kuwaona wake wa ujana wenu hawafai wamezeeka, akavuta bi mdogo..... Mwisho wa siku wasela wakawa wanamla, ikafikia kipindi wanamdrop getini......akiuliza anaambiwa 'wafanyakazi' wenzie.....baaada ya kufumaniwa live akamlipua mke mdogo na kujilipua mwenyewe too bad watoto wa mke mdogo walikuwa wadogo sana, primary school......sijui imeishia
vipi ile familia....
Wanaume mnapaswa kufikiri kabla ya kutenda, ila tatizo mihamko yenu ikipanda akili zinaamia kuleeeee