Illuminati na kifo cha Michael Jackson

enhee aliemuua maiko kaja!!!
 
R. I. P the one and only MJ.

He was greatest gift on earth and no one will ever replace him.

Msanii pekee ambae katika dunia hii hakuna ukumbi uliokuwa unatosha kuchukua watu wanaoudhuria shoo yake.

Msanii pekee aliokuwa ana uwezo wa kuimba huku anacheza kwa wakati mmoja.

Hakuwahi kutoa nyimbo ya kipuuzi hata moja.

Mwanzoni mwa miaka ya 90 wakati ndio career yake iko kwenye peak alitokea kupendwa sana na wazungu lakini ghafla upendo huo uliingia dosari baada ya kutoa kibao cha "THEY DON'T REALLY CARE ABOUT US" kutokana na ujumbe uliomo humo wazungu waliona kama wametukanwa na hasa jews kitu ambacho kilimfanya akatoa video version mbili tofauti.

Hizi stori za yeye kuuliwa na illuminat bado hazijaniingiaga akilini hata kidogo.
 
I loved michael too

Namuheshim sana yule kiumbe
 
Mkuu ungetoa na ushauri watu wanao tamani kujiunga makundi hayo ya illuminate
 
Kweli mkuu, Mimi nahisi kama Nina PHD ya uelewa Wa mambo.

Mkuu najikuta nipo nondo kuliko watu wanaonizunguka muda mwingi mimi ndo nakuwa reference.

jf imenijengea tabia ya ku-reason kila ninachokutana nacho

JF imenifanya niwe nafuatilia mambo in-details yaan naweza kwenda kutafuta midocumentary ili nijue zaid.

Sasa mtu unakuja na siasa zako za miaka ya 1200BC Utake kufungia JF kweli.
 
Fuatilia clip zake za mwisho ndio utapata picha halisi, pia tizama clip ya siku ya mazishi yake, jamaa inaonekana alikuwa recruited toka akiwa mdogo, sasa inafika kipindi unachoka, kwa hiyo ukibadilika wanakula Sahani moja na wewe.
Wenyewe wanapenda kusema neno "Industry" Tizama pia clip za DMX na yeye anatumia neno industry" akimaanisha hao jamaa.
 
Michael Jackson hakuuliwa na Illuminati !!!!

Ikiwa aliuliwa na hao wa kikundi wanachokiita Illuminati basi wenye vivid evidences watuwekee hapa

Ushahidi sio hayo maneno ya Latoya (ambayo pia hayana ushahidi ndani yake)

Huyo atakayetupa ushahidi huo na aanze kutuambia kwanza Illuminati ni nini?
 
Uko vizuri we Jamaa..

Yaani Michael nilimpenda na nitampenda daima..

badala ya kumpenda Mungu wako aliekuumba au wazazi wako waliokuzaa endelea kupenda mzimu

unajua maana ya ulichokiandika na wasi wasi na umri wako
 
Vikundi vya siri vya kijamii huwa vinaacha saini kwenye jambo wanalosabanisha..kama wakiua wanaacha 'signature'. Siku..tarehe..muda..aina ya kifo..nk.asante kwa kutufungua macho
Asante mkuu
 
Ndugu,,tufanye hivi, binafsi hua napenda kushindana kwa hoja, nikiamua nimwage upupu wa illuminati hapa naweza but i dont want alone to do the work and researching, just go and research about illuminati go read journals,,see videos, and then come lets meet here each one of us produce what he has got about illuminati then tuta argue kwa hoja.
 
Mkuu kumbe unafatilia ...vitu.viko wazi but people.hawataki ku research mambo wanachukulia mambo juu juu kwa mihemko. Dmx is one of my best rappers kitambo but walivokuja turn image yake upside down, just because he wanted to go out of them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…