Illuminati na kifo cha Michael Jackson

Hapa sijaelewa anaposema " music industry" anamaanisha hiyo illuminati society or?

Halafu kwani ni lazima kujiunga? Ukikataa wanakufanyaje?

Halafu nataka kujua ukiwa member kwani kuna baadhi ya masharti inatakiwa ufate?

Naomba jibu please coz MJ alikuwa na michubuko kwenye magoti, shingoni na mikononi asa sijui inahusiana vipi???
 
Wanajiunga kwa hiari ili wawe maarufu na matajiri, ila tatizo baadaye wanachoka maana masharti kila siku yanaongezeka.
Nazani wanaogopa kuwataja maana jamaa wanatisha kila mahali wapo.
 
Hizi nadharia zenu mngewekeza kwenye "hapa kazi tuu" ingewasaidia.
 
Toka niwe active JF napata madini ambayo sidhani kama ningeyapata huko kwingineko

Halaf anakuja mtu na suti zake za kufunika viganja eti aifungie
Mimi kupitia JF nimeweza hata kuupgrade my status quo.

Jukwaa la siasa limenifanya niheshimike sana kwa wazee, nikiwa najadiliana nao tukio lolote la kisiasa naonekana kichwa kishenzi kumbe asilimia kubwa natumia mawazo ya wana JF.

Intelligence forum imenifungua sana na kunifanya nifuatilie dini kiundani na kufahamu vingi ambavyo nilikuwa sivijui hapo kabla. Na mambo ya kijeshi pia.

Kule MMU stori za Lara 1 zimewahi kunipa demu kiulaini na wawili nimewahi kuwauzia kabisa.

Kiufupi mimi ni mmoja wapo wa wanufaika wazuri tu wa Jamii forum nikiwa kama mtumiaji.
 
Mkuu hivi hizo clip pekee ndio zitakiwa ushaidi wa yeye kuuliwa na illuminati?

Kwanza maana ya illuminati ni nini?
 
halafu kuna watu wanasema jay z alikuwa anamzidi Michael Jackson
 
Ndo hivo keshakufa tena, sijui nani atamrithi
 
Hawa jamaa ni hatari sana. Wana kupamba kisha wanakutumia.. Ukianza kuota mapembe wana kuchafua mbele ya umma. Kisha wanakutoa uhai,, kama vile mchawi ukistukia michongo yake.. ni magwiji sana wakucheza na vipaji vya bin Adam.
R.I.P Michael
[HASHTAG]#KRS[/HASHTAG] ONE
 
Ndo hivo keshakufa tena, sijui nani atamrithi

He's irreplaceable indeed.

It's no longer possible for anyone else to achieve the level of celebrity MJ had and barring some unforeseable changes in the way a world works, that will never be.

MJ revolutionised pop music in many ways at the hardest time (provided alikuwa ni mtu mweusi) he shattered the racial barriers, dominated charts and dazzled fans on the stage.

His album thriller yenye blockbuster hits kama beat it,bill jean na thriller is the all time best selling album with an estimated 100millions copies sold worldwide.. Na hiyo ilikuwa ni mwaka 1982.

His complexity in music videos which were more like short movies with incredible dancing skills and distinctive vocal styles, i bet no one will ever catch up with it.

R. I. P the only king of pop MJ
 
upo sahihi lkn kusudi la mungu halikua kumuumba shetani atende mabaya ila alihasi akatupwa kutoka ufalme wa mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…