Illuminati na kifo cha Michael Jackson

MUNGU anavyo hukumu ni sawa na mwanadamu anae lima shamba lake ili apate mazao, kisha wakati wa kuvuna akapata mazao na magugu mwanadamu huchukua mazao na kuyachoma magugu, hivyo MUNGU huchukua waja wake wema na kuwachoma waovu kwa sababu hana shida nao.
 
Story hi niliwahi pia kuisikia kama ilivyo somewhere; the question is, kwanini weusi tunachukiwa hivi!? Kuna viongozi kadhaa ambao nao ni members wa hilo kundi na ni weusi, hivi hua wanajisikiaje wanapodharauliwa na members wenzao weupe!?


hawata jisikia vibaya kwani wao ndio wamependa kuwa vibaraka wa weupe,labda waanzishe lakwao.
 
Tunaaminishwa ya kwamba kila binadamu mwenye mafanikio hususan kiuchumi ni Masonic, Is it true?
 
Soma upya uelewe.
Mwalimu anapotunga mtihani pamoja na majibu ya kweli, anaweka na ya uongo.
Akili yako itakufaulisha.
Waza vizuri ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…