Kujichanganya maana yake ni nini? Mbona una kuwa generalist? Na utasemaje kuhusu Mwisho na Richard Big Brother Africa?watanzania tunamatatizo ya kujichanganya kwa haraka, lakini kuna nchi wanankuwa wako fast within short minutes anakuwa friend wa kila mtu, mfao ni kama Wakenya lakini tatizo lao hakuna wazuri
Kujichanganya maana yake ni nini? Mbona una kuwa generalist? Na utasemaje kuhusu Mwisho na Richard Big Brother Africa?