GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Si mlijifanya kuwawekea Sumu katika Vyumba vyao na mkawafanyia hadi Fujo katika Hoteli waliyoifikia?
Sasa ndiyo mtawajua Waarabu kuwa hawatanii na Fitina za Soka / Mpira Kwao ndiyo Makao Makuu.
Yaani kabisa Mwarabu aujaze Uwanja wa Watu 64,200 na Kombe Uwanjani kisha Wewe Mswahili ubebe Kombe Kwao?
Haya tumeshapata tayari Kisingizio Mama kuwa tukifungwa tutajitetea kuwa ni kutokana na Fitina na Camera kuzuiwa Uwanja wa Ndege wa Jijini Algiers nchini Algeria.
Chanzo: Kipindi cha Michezo cha UFM Kinachoendelea hivi sasa kupitia 107.3MhZ
Nimefurahi mno mlichofanyiwa ili Mkomeshwe na muache Kidomodomo.
Kudadadeki zenu..!!