Ilyonifikia hivi punde: Waalgeria wameanza Fitina kwa Kuzuia Camera za Media za Tanzania Uwanja wa Ndege

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Si mlijifanya kuwawekea Sumu katika Vyumba vyao na mkawafanyia hadi Fujo katika Hoteli waliyoifikia?

Sasa ndiyo mtawajua Waarabu kuwa hawatanii na Fitina za Soka / Mpira Kwao ndiyo Makao Makuu.

Yaani kabisa Mwarabu aujaze Uwanja wa Watu 64,200 na Kombe Uwanjani kisha Wewe Mswahili ubebe Kombe Kwao?

Haya tumeshapata tayari Kisingizio Mama kuwa tukifungwa tutajitetea kuwa ni kutokana na Fitina na Camera kuzuiwa Uwanja wa Ndege wa Jijini Algiers nchini Algeria.

Chanzo: Kipindi cha Michezo cha UFM Kinachoendelea hivi sasa kupitia 107.3MhZ

Nimefurahi mno mlichofanyiwa ili Mkomeshwe na muache Kidomodomo.

Kudadadeki zenu..!!
 
Kwani camera zinacheza?Wa ngemzuia Mayele hapo tungeshituka.
 
Wewe taahira si juzi ulifungia Uzi hapa ukasema YANGA watashinda sababu wameroga? Hivi wewe jamaa una familia kweli?
 
Popoma uko Banned kesho tunashinda.

#WHYNOTUS#
#timuyawananchi#
πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
 
Yanga wapigwe fitna hadi wadungwe zakutosha
 
HABIB THALATHA BIN THIFULI WABILAH TAFIQΩˆΩŠΩŠΩˆΩŠΩˆΩŠΩˆΩŠΩŠΩŠΩŠΩŠΩˆΩŠΩˆΩŠΩŠΩ†Ω†Ψ·Ω†ΩŠΩŠΩ†ΩˆΩŠΩˆΩŠΩˆΨ¨Ψ¨Ω†Ω†Ψ¨Ω†
 
Na jana wengi wao wamelazwa njaa, eti hawataki kula mahindi ya kuchemsha. Vya bure vina gharama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…