Im a single boy!
Perfect boy.....
...........karibu chama la
bachela..ukinipenda
tunamalizana leo leo tuu
Siku hizi kwa
kudanganyana.. mvulana
msichana ishakua poa poa
tu
Hakunaga mapenzi yale ya
kugandana gandana ni
zama za kale..........
---------------------------------------------------------
Hao ni Ally K na Jide na ujio
wao mpya....alafu bado
tunaambiwa wasanii ni
kioo cha jami
Du! mambo hadharani wameamua kuudhihirishia umma kwamba kama wasanii hawana jukumu la kuonya,kufundisha na kuburudiha kwani siulewi hata maana yake ni nini?wasanii zamani bwana, sa hivi usharobange tu ndio uliobakia.
Lakini nakerwa zaidi na matamshi,au matumizi ya maneno,na makosa mengi ya kawaidakawaida...
Mfano pa kutakiwa kusema "la azizi..",mwimbaji atamke "ra azizi..."