Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 568
Tatizo la hawa viumbe sometimes mnakula nyumba nzima bila kujijua kuanzia baba, wewe, mkatamajani, muuza njegere,muuza urembo na hata mgeni anayekuja kuwatembelea/kuishi na ninyi hapo home. Kumbukeni kondom otherwise mtaondoka kwa mstari.
Imenigusa sana hii, Nipo mkoani kikazi nipo kwenye hotel moja nzuri sana hapa mjini. Muanzilishi wa hotel hizi alifariki akiacha watoto wanne wakiume wawili na wakike wawili. watoto wa kiume waliendeleza biashara hii na kufungua nyingine kubwa ya 3stars ambayo nipo kwa sasahivi. Mwakajana na mwanzoni ya mwaka huu hawa jamaa walifariki....... sitaki kuzungumzia familia/wake zao ila achana na ma house girls watawamaliza. there are so many womans out there. mtapukutika