I'm addicted to "BEKI TATU"

sawa umekula beki tatu wenu wote...sasa sie hili linatuhusu vipi.
hizi ni sifa za kijinga.

Tena asipokuwa makini na kuendekeza tabia za aina hii ajue muda si mrefu atakusanya watu nyumbani kwao wakale maharage.
 

Umeutema ukweli,jambazi kumwambia,
kutongoza si asili,ni yeye kuwavizia,
Vyumbani kama jabali,kujifanya msamalia,
Hakiyanani umesema,Jehanamu yasubiri,
 
Ivi wewe jitahidi kufanya mambo ya mhimu, mf we ni mwanafunzi kazana kusoma acha anasa na ma beki 3
 
Kwamba hao viumbe unaowafanyia hivyo sio watu? Utatoa hesabu ya matendo yako.
 
Ivi wewe jitahidi kufanya mambo ya mhimu, mf we ni mwanafunzi kazana kusoma acha anasa na ma beki 3
Katika anasa na mabek3 utawaweka? Sema tunasaidiana kupunguza ila co anasa.
 
bravo!! kutomba ni kutoa huduma, so, endelea kutoa huduma kijana!!
 

It is said ''evil exists in our society not because of the acts of bad people, but because of the silence of good people''. Please stop taking advantage of these poor and helpless girls from the village. Usije kusema kwamba huwa ukiwatongoza hawakatai, siyo kweli. Wanakubali kwa shingo upande kwa kuhofia vibarua vyao kuota nyasi. Huo ni unyanyasaji wa kijinsia na ni kosa la jinai mbele ya sheria.

Lakini sheria hata zikiwa nzuri namna gani, kama jamii yenyewe ''imeoza'' na imekumbwa na mmomonyoko mkubwa wa maadili kiasi cha mtu kufanya jambo baya na kujisifu na hata kusifiwa na wenzake, sheria hizo haziwezi kutusaidia sana. Kama Watanzania, tunatakiwa kujenga jamii ya watu waliostaarabika wenyewe. Matatizo mengi tuliyonayo yanachangiwa kwa kiasi kikubwa sana na jinsi tunavyofikiria na kupambanua mambo yanayotuzunguka katika jamii zetu ''MIND-SET''.
 
<br />
<br />
Masaki kumeku vingunguti,

We hujawai walamba mabeki tatu?
Ctaki kuamini.
 
bravo!! kutomba ni kutoa huduma, so, endelea kutoa huduma kijana!!

tumia tafsida mkuu,ingawaje wengi wetu ni watu wazima lakini kuna maneno hayapendezi sana kuyasikia au kuyasoma
 
tumia tafsida mkuu,ingawaje wengi wetu ni watu wazima lakini kuna maneno hayapendezi sana kuyasikia au kuyasoma
sawa kaka angu... nilifikiri tupo kwenye lile jukwaa letu aisee!
 
Tatizo la hawa viumbe sometimes mnakula nyumba nzima bila kujijua kuanzia baba, wewe, mkatamajani, muuza njegere,muuza urembo na hata mgeni anayekuja kuwatembelea/kuishi na ninyi hapo home. Kumbukeni kondom otherwise mtaondoka kwa mstari.

tatizo ni 'bure' mabeki3 wajinga wakitakwa na fatherhouse, au watoto w amwenye nyumba wanajiona wameukata sana wanapanua tu bila kufikiri. kwa yeyote mwenye tabia hizi ajifunze kwa hayo yaliyoandikwa hapo juu mtakwenda kwa mstari sio siri maana we ukiwa shule atapita muuza urembo akimpaka rangi tu kapanua, akienda gengeni akiongezwa nyanya masalo tu kaachia, akipanda daladala konda akimshika **** tu kachanua, baba nae akingoja wote hampo nyumbani anamchapa, mkata nyasi ndio usiombe mara bustanini mara mabandani mwa ng'ombe!! mie nilikuwa na beki3 alipewa mimba na mpaka rangi... imagine wiki 1 tu ya kupaka rangi ilizaa matunda binti akazaa mtoto ambaye hata hakujua pa kumpata baba maana mie nilikuwa namjua fundi kwa simu alipojua alichokifanya akabadili simu na ikawa ni mwisho wa kuonana hd leo binti kabaki kwao na mtoto wa kiume asie na baba mwaka wa 7 huu!!!!
 
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
Umeongea kwa umahiri mkubwa bila shaka utakuwa na interest na hii thread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…