I'm back

Tajiri wa matajiri

Senior Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
166
Reaction score
649
Nikiwa siku kadhaa sijaonekana kwenye huu mtandao wangu pendwa wa jamii forum kutokana na majukumu yangu magumu ya kitaifa na kimataifa,Sasa nimerejea tena hapa jamii forum Kwa energy yangu kubwa sana tena sana

I'm back I'm new version ya nesi mkunga, chawa WA lumumbashi,bilionaire kekekam and so on.

Kaeni mkao wa Kula niwape hint vacation yangu ya New York.
 
Karibu tena JamiiForums...

 
Tafuta jina LENYE mvuto 😊
 
Chawa kama chawa......ukiwa katika ubora wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…