Huyu ni Gembe yule yule au aliacha laptop yake huku email yake ikiwa wazi so mtu akatuma hii post???????kama ni wewe Gembe original ushajua mwenyekiti wako wa Taifa ni msanii,unafikiria nini 2010?nami sasa naanza kukubaliana na ule msemo wa Nyani Ngabu
(1) Hawezi kuwawajibisha alio waweka madarakani-->Sophia Simba amewataka wanawake wanachama wa CCM kuwanyima unyumba waume zao. ambao si wana CCM..JK yuko quite kabisa katika hili.Mkuu, mbona hii post inaelea hewani?? Kila mtu ana sababu yake ya kumchagua au kutokumchagua Kikwete. Wewe kila sababu yako unayoisema ni ipi? Weka mlolongo wa sababu zako unazozisema za kwanini tusimchague halafu na sisi tutakuja na za kwetu za ama kwanini tumchague au kwanini tusimchague.
hii post yako ni ki-mini skirt; haijitosheleziTuna kila sababu za kutomchagua tena Rais Kikwete (Ashauriwe pia a withdraw nia yake).
Nakaribisha michango...
JK bado ana kura yangu ya kumfikisha 2015
kaka upo?salama lakini ?nakumiss sana kwenye lile jukwaa letu kule
Wakati tunapiga porojo huku tusimsahau MUNGU pia wadau atusaidie kwa tunayotaka kufanya msilalame tu kwa nguvu zenu