I'm going through hell!...should i keep going?

Naona amani imetawala ndoa na yule HATER tumempotezea mbali.......

Aliingia choo cha kike akasahau kuchuchumaa. Lol! Aibu ikamkumba mabinamu tukasonga mbele.
 
You have said it darling! Me too. Nadhani watu watalishuhudia penzi letu siku ya kufungua shampeni kwa ajili ya kudumisha ndoa ya bwashee wangu na dada yangu ambaye ni wifi yako. Hahahaha! By the way, how are you sweetie? Did you had sweet dreams?
Yes my love,I am very fine.Nilikuwa kule chumba kingine kwenye takukuru,lakini nimelala unono na ndoto nzuuuuuri sana.nitaku-PM kukusimulia hizi ndoto.
Halafu tusije tukaenda off -point,au hii thread ya shem Geoff tunaruhusiwa?
 
utakufa presha bwa-shee!au umesahau kuwa ni dada yako?

bai dhe wei leo shemeji sitapenda tuizungumzie mechi ya jana kombe la kalingi sijui kati ya bwawa la maini na washika binduki!samahani kwa kutoka ofupoint😀
I agree kabisa, its a taboo to imagine mikiki ya sista, its abormination ooh!
 
yes my love,i am very fine.nilikuwa kule chumba kingine kwenye takukuru,lakini nimelala unono na ndoto nzuuuuuri sana.nitaku-pm kukusimulia hizi ndoto.
Halafu tusije tukaenda off -point,au hii thread ya shem geoff tunaruhusiwa?

yes feel free shemeji akikusumbua mtu tuta kuback up!
 
We ni-PM tu, ntakuunganishia mpwa. Vipi yule aliyejifungua jana? Lakini kale katabia kako kakubadili badili dada zangu huwa hawanaga uvumilivu! Hahahaha hehehe!

Hahahaha mpwa najipanga kwa 2012 kubadilisha radha mpwa ni muhimu si unajua tena huwezi kula maharagwe kila siku lazima ule mchicha kisamvu n.k
 
Afu ukishawaona, utakuja kukana yale masentensi yako kwenye ile thread au utauchuna? Goodmorning binamu, kumbe hatijasalimiana!
Ukweli ntakuja kusema hapa wala sitaficha.
 
Yes my love,I am very fine.Nilikuwa kule chumba kingine kwenye takukuru,lakini nimelala unono na ndoto nzuuuuuri sana.nitaku-PM kukusimulia hizi ndoto.
Halafu tusije tukaenda off -point,au hii thread ya shem Geoff tunaruhusiwa?

Hahaha! Thread za mabinamu na wapwa huwa unaruhusiwa kutoka nje. Zile za ma best friend zake mkuu nguli ndio ukitoka off point inakuwa balaa.
 
I agree kabisa, its a taboo to imagine mikiki ya sista, its abormination ooh!

Watu wengine mikiki mikiki yao inatulazimu tuwaonee huruma dada zetu, siyo wivu. Lol! Hahahaha hehehehe tehetehe!
 
Mwenzenu akili haijakaa sawa sawa mpaka leo kila siku zinavyo zidi kwenda mapigo ya moyo yanaongezeka.
Wapwa mnaikumbuka hii listi?
-Sahau Kambi
-Minziro
-Ken Mkapa
-Godwin Aswile
-SAlumu Kabunda
-Isa Athumani
-Sanifu Lazaro
-Athumani Abdala China
-Makumbi Juma
-Justine Mtekele
-Thomas Kipese
 
Subiri Jumamosi tutakapokupa ile habari njema. Afu Jumapili tunafanya cheers kwa ajili ya Geoff & Sisy na Wekundu wa Msimbazi kwa pamoja.
 
Subiri Jumamosi tutakapokupa ile habari njema. Afu Jumapili tunafanya cheers kwa ajili ya Geoff & Sisy na Wekundu wa Msimbazi kwa pamoja.

Thubutu mpira umesha chezwa tayari Unguja na Bagamoyo sasa subiria matokeo jmosi tu.
 
We vipi tafuta msaidizi wake huko nje usimbembeleze wala kuomba unyumba mpaka ashangae na kama home kuna wale mahausigeli wa Singida au Kondoa punguzia hasira zako hapo demu anataka kukuendesha ka gari bovu?
 
Morning bro/ma
 
You mean she/he? Mabox au? Hahaha! Watu bana!

Yes! hasomi mteremko anakurupuka na kuharibu ndoa tulioimarisha kwa siku nzima ya jana au ni best friends new ID? U KNOW WORA M SAYIN'
 
Yes! hasomi mteremko anakurupuka na kuharibu ndoa tulioimarisha kwa siku nzima ya jana au ni best friends new ID? U KNOW WORA M SAYIN'

Yaa i knoo. Wakiingiaga hawa hawachelewi kuingia mitini.
 
mabibi na mabwana habari za mchana? tangu jana nina kwi kwi haya makombe ya mbuzi kwa nini wanayaweka lakini?

Geoff natumai leo kazi zinafanyika kwa wepesi na kasi ya hali ya juu😀
 
aisee mtu wangu hapo umeongea kama wanaume kumi....wa wa wa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…