I'm going through hell!...should i keep going?

hapo geoff lazima pia ufikirie na factor ya "uwanafunzi".
ile kuwa mwanafunzi tu tayari inakupa "jeuri" ya kivyengine, unaona life is easy sijui niseme, unajiona bado uko katika HIGH TIMe yako, .....nk

mie kwa nafsi yangu niliolewa nikiwa "mwanafunzi". nilikuwa bado namtreat mume wangu kaa mshkaji tu na akiniudhi nambomoa huko 🙁 (japo kuwa nilikuwa older kwa huyo wako na nilikuwa nimeajiriwa chuoni)

nilipomaliza shule tu, nilijikuta nakuwa more responsible, nampa respect yake anayostahiki, namstahamilia sana

so kubali ulezi kaka......usikasirike mno....wanawake ndo tulivyo
 
sawa mama!
ahsante kwa ushauri.ngoja niwe mpole
 
teh teh chrispin anaweza kuomba umrudishie dada yake

Lol! Mi na bwashee ni marafiki zaidi ya ushemeji. Siwezi kumnyang'anya rafiki yangu dada yangu. Kwa mantiki hii nakufahamisha na kuwaahidini wapwa na mabinamu zangu wote, sitakaa kimya nikishuhudia dada yangu na rafiki yangu wakisarambatika. Naliheshimu penzi lao na nalitakia mema.
 
TUNDIKA MIMBA atatulia tuu.
 
pole sana, nadhani ushauri uliopewa utasaidia sana

kaza roho...wanawake ndivyo tulivyo sometimes...
 

ooh yes!mimi na wewe krispin ni kama jei kei na eddo.HATUJAKUTANA JF!tehe tehe tehe!(naomba ni-smile kidogo,manake kidonda nilichonacho ni kikubwa mnoo)
 
Binamu Chrispin this time you will need to grow up and ensure Geof has peace at the house especially becouse you are involved directly🙁

To this I WILL.
 
Mpwa kama kuna kitu kinawapa jeuri kubwa hawa watu ni ndoa, mimi ndio maana ninaishi na mtu mwaka nne sasa hata discussion ya kuhusu ndoa siruhusu ianze maana visa kama hivyo hawezi kuleta kwenye u boifrend na ugelfrend.

UNFAIR ADVISE to our friend, cousin and my shemeji who needs FAIR ADVISE in this DIFFICULT TIME. Please APOLOGISE!
 
UNFAIR ADVISE to our friend, cousin and my shemeji who needs FAIR ADVISE in this DIFFICULT TIME. Please APOLOGISE!
fact!
i appreciate your concern shem
 

You have said it.

Nitahitaji busara zako kwenye kazi ya kuinusuru ndoa ya shemeji yangu na dada yangu. Utakuwa mmoja kati ya watu watakaoumia sana endapo ndoa hii itavunjika. Nami ntaumia sana nikikuona unaumia. So lets save our souls together.
 


well said ma bro, hata mie mwenyewe huwa cpendi kabisa tukorofishane ndani then ntu aipeleke nje, kwanini tuc solve wenyewe, nadhani mamii anakuita mnafiki na mmbea coz hakutegemea kaam ungepeleka hii ishu kwa mtu wa3, mpeleke taratibu kwa wakati huu mana nahic haya ya sasa sio mwendelezo wa tofauti zenu bali ni kuchukia wewe kupeleka habari kwa kakake, akishatulia then kaa nae chini muweke tofauti zenu mezani G.
 


wewe kijana hapa tunazungumzia ndoa sio u boyfrnd , hayo ya ukatili yametokea wapi? kipi cha ajabu alichofanyiwa G? hivi ni vijimambo vidogo vidogo sana vya ndoa kijana, na G bado hajafikia kuwashirikia hao wote unaowasemelea, amshirikishe Mungu wake.....
 
ZD,chrispin!
thank you very much!NA KITUFE CHA THENKS NIMEGONGA
 
UNFAIR ADVISE to our friend, cousin and my shemeji who needs FAIR ADVISE in this DIFFICULT TIME. Please APOLOGISE!

Mpwa huwa naangalia maisha ya watu walio kwenye ndoa na walio kwenye mahusiano ya kawaida, nakuambia mpwa kosa kubwa kabisa kuwaoa hawa viumbe watakusumbua sana, nakuambia isingekuwa ni taratibu za mazoea mi nisinge oa ningeendelea kumdate my luv wangu hadi tunakufa, ila kwa kuwa ni mazoea nitakuwa boifrendi hadi hapo tutakapo zeekazeeka.
 
You have said it.

Nitahitaji busara zako kwenye kazi ya kuinusuru ndoa ya shemeji yangu na dada yangu. Utakuwa mmoja kati ya watu watakaoumia sana endapo ndoa hii itavunjika. Nami ntaumia sana nikikuona unaumia. So lets save our souls together.

Usijali,ndio kazi yangu hiyo kuwa upande wako!Kukusaidia na kukusupport kwa kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…