FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
aaah Cheusi mi nina aleji ya kuosha vyombo na kubeba maji
assign hiyo task kwa Lily Flower mdogo wangu afanye......[/QUOTE]
Siku hiyo itabidi nisingizie naumwa dah!! kweli sisy hapo umenitega.
Haya mama safari njema lakini mbona umeanza mapema Kampeni?
Au unaenda kumwaga misaada vijijini usisahau kumwaga hata SALAMA maana vijijini huko wanatumia soft rambo.
Mmmmh kampeni tena! Kila la heri.Unaenda kmfanyi akampeni JK?kazi ndio imeshaanza?