Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
‎10 years ago..life had no complexity!
You need to make a move to a girl,pick one of whitney or celine's tracks,attach part of the lyrics kwenye a 500 sh card,relax at home subiria majibu in half an hour..whch are 98% positive!(Enzi hizi ni uwezo wako binafsi wa kuhendsamisha)
Sasa siku hizi kumpata mwanamke hata wa temporary utasema unafuatilia kuandikisha kampuni TRA
-msumbue FB (JF if exists)

-muombe dials
-mvalie pamba
-mpeleke icecream mlimani city
-mpeleke beach
-mnunulie vocha(kwao maduka hamna)
-mlipie kibajaji na marafiki zake
-mwisho anakuambia anakupenda so mvumilie amuache boyfriend wake(kumbe ulikuwa unahudumia mtu wa watu)
Umeanza kumtokea form III anakuja kukubalia chuo mwaka wa kwanza,boom likiisha mwezi unaofata anakutosa hadharani 🙁
Na bado hatukomi tu.. khaa..!!!
:lol::lol:-mvalie pamba