Niliiona jana wakati nipo katika pitapita zangu mitaa ya ubungo, NELSON MANDELA ROAD ila sikumbuki kwa makini maeneo halisi, kama unaelekea ubungo iko mkono wa kushoto, kuwa makini ukifika maeneo ya katikati ya EPZA NA DARAJANI TANESCO, in between there, unaweza ukaiona