Mato, Binamungu na Sikalumba na wengineo, nenda Moro mjini kama unaelekea Manispaa ukivuka daraja kunja kulia kama unaelekea uwanja wa Jamhuri kushoto hapo barabarani tu utampata Sikalumba, Binamungu nenda karibu na bank ya CRDB kama sijakosea , alternatively nenda Chuo kikuu Mzumbe watafute faculty of law utawapata wote