Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapa tatizo nini ndugu yangu ni mshahara au njaa,au ndio tuseme we huhitaji mapumziko?Mimi nakushauri uwaombe waajiri wako wakuongezee muda wa kufanya kazi kwa ujira huo huo unaopokea sasa hivi pengine utaridhika!!Nina advanced diploma ya IT na pia nimefanya course ya Cisco, nimeajiriwa na kampuni moja hapa Arusha but mwisho wa kazi huwa ni saa kumi(na ni jumatatu-ijumaa) na from there na kuwa free, so nahitaji kazi ambayo naweza ifanya kuanzia muda huo ninapotoka kazini.
utaajiriwa mpaka lini dogo?? ingia kwenye soko la kuajiri watu.. tafuta biashara yako mwenyewe fanya..I can tell you inalipa mara tatu mpaka nne ya kazi za kuajiriwa...Lol...ushauri wangu...achana na kuwa na waajiri wengi ..ajiri na wewe.Nina advanced diploma ya IT na pia nimefanya course ya Cisco, nimeajiriwa na kampuni moja hapa Arusha but mwisho wa kazi huwa ni saa kumi(na ni jumatatu-ijumaa) na from there na kuwa free, so nahitaji kazi ambayo naweza ifanya kuanzia muda huo ninapotoka kazini.