sasa wewe ndugu yangu, unataka nini? tatizo lenu vijana wa siku hizi mnahonga sana kiasi kwamba na matumizi yamekua makubwa kuzidi mshahara wako ndio maana unahangaika, hata ukilipwa Ml. 10 kwa mwezi tena utakuja hapa na kulalamika kuwa hazitoshi, hebu jaribu kupangilia budget kulingana na kipato chako. Wenzako wanatafuta muda wa mapumziko na familia zao wewe unataka kuendelea na kazi hadi usiku. Zina mwisho hizo pesa jamani, wenzako hawajaajiriwa na wanatafuta hata pa hela kidogo lakini hawapati au unataka kutajirika haraka haraka angalia asijeingia kwenye ufisadi kijana