Kazi mbona naona sana zinatangazwa tembelea mabumbe websiteHabari Wapendwa,
Mimi ni Registered Nurse with valid working license, mhitimu ktk course ya Bachelor of science in Nursing. Nina 2 yrs experience in this field.
Natafuta sana kazi ktk hosp yyte ndani ya Tanzania or as a tutor ktk vyuo vya diploma vya Uuguzi.
Tafadhar yeyote mwenye kuona post hii na kua na channel yyte itayonisaidia ktk hili naomba anisaidie.
Natanguliza shukurani
Pita kushoto nenda kacomment kwenye post za walio serious. Kuhusu kuhudumia mgonjwa kwa usahihi cio ww wa kujudge. Jifunze kua na akiba ya maneno usimalizie stress zako kwenye post za watu. Asante.Unapoomba kazi jaribu kuwa serious unawahi wapi kwani kkt ndio nini yyte ndio nini tafadhar ndio nini kama vitu vidogo hvyo mnashindwa kuzingatia utaweza kweli kumuhudumia mgonjwa kwa usahihi.
Asante nitazingatia kupitia huko🙏Kazi mbona naona sana zinatangazwa tembelea mabumbe website
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
sawa mpendwa, nashukuruUkipata kazi jichange change fanya mpango ukapige lugha ya Kijerumani( Deutsch)
Naona Manurse wengi sana wanakimbilia Ujerumani huko na ofcourse wanalipwa vizuri sana kigezo ni lugha tuu B1.
Haujachelewa fanyia kazi ushauri wangu.
Sisi watanzania tumechelewa sana ila Wakenya kitambo sana wanapambania hizi mishe.Hapa bongo utachelewa sana.