Im new member!

Im new member!

staha

New Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
3
Reaction score
2
Habari kwa wana JamiiForums wote,mimi ni mama wa makamo naombeni mnikaribishe katika jukwaa hili adhimu lenye kuelimisha kwa kila namna, kufurahisha,kuhuzunisha na hata kukuweka huru kifikra. Nawaombeni nami niwe miongoni mwa wataochangia na kuchangiwa mafanikio katika siku za maisha yetu katika uso huu wa dunia.Natanguliza shukrani zangu za dhati,
STAHA.
 
Karibu sana staha...
 
Last edited by a moderator:
Karibu mama,huenda umejifunza mengi kwa kupitia JF, mahaligapa pia uvumilivu wahitajika. Karibu mama wa makamo
 
Back
Top Bottom