Habari kwa wana JamiiForums wote,mimi ni mama wa makamo naombeni mnikaribishe katika jukwaa hili adhimu lenye kuelimisha kwa kila namna, kufurahisha,kuhuzunisha na hata kukuweka huru kifikra. Nawaombeni nami niwe miongoni mwa wataochangia na kuchangiwa mafanikio katika siku za maisha yetu katika uso huu wa dunia.Natanguliza shukrani zangu za dhati,
STAHA.