I'm so lonely!!!

I'm so lonely!!!

Vene

Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
93
Reaction score
42
Maisha haya! Ila upweke mbaya saaana! Ila kuna siku moja utaisha tu! Na hiyo siku imekaribia!
 
Tegemea kupata nyama mbichi na iliyooza bila kusahau utumbo.
 
vene PM zimefika ngapi? subiri wengine sasa hiv kwao ni usiku wa manane hawajaamka
 
Jamani, hamjambo? Seriously, I am so lonely. Hebu jamani ajitokeze mtu hapa tuwe friends, tuwe tunachat tu jamani. Mie mdada, huyu friend wangu awe jinsia nyingine yaan mkaka ambaye ni single. Awe mtu mzima jamani (matured) na awe above 34 yrs. Awe msomi, kama mimi na awe decent kama mimi. Angalau nichangamshe akili yangu jamani loh! If interested, send me a private message. Sitanii jamani!
cc Wendie
 
Last edited by a moderator:
Mbwembwe nyingiiiiiii mwishoni mnaishia kutafunwa tu kama big G...eti jinsia nyingine,awe singo,above 34 na msomi km mimi...wee kama issue ni kuwa loney kuna vijana wadogo tu waliozaliwa wanasema,watakupa changamoto kuliko ambazo ungepewa na hao decent Fab unaowahitaji ambao wengi ni waume za wenzio!
 
Dah mi ndo nishakukosa kwa hiyo condition ya umri dah! Haya 34 singles mpooo....?
 
Back
Top Bottom