Waungwana, nawaomba radhi kwa Posti yangu niliyoiweka asubuhi ya leo kwa mategemeo kuwa mtaichukulia kama utani wa kawaida bila kujua kuwa itawachefua baadhi yenu.
Pia bila kinyongo nawashukuru MOD's kwa uamuzi wa kuiondoa ile Post.
nakubaliana nawe ndugu.2ko pamoja infact mods wana jukumu kubwa sababu hata mie nimejipata katika hali yako mara c chache mkuu.thats y its home of the great thinkers.thanks u mods.