I'm The Best Cheater Kuz Nafanya Hivi.

I'm The Best Cheater Kuz Nafanya Hivi.

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
798
Reaction score
541
  • Nakuwa Karibu na Mpenzi wangu Kimwili na kiakili.
  • Na-act kama mshauri mkubwa na Namtia matumaini
  • Natoka nae out mara mbili within a week days na wkend tunakuwa pamoja.
  • Kila wkend Shoping lazima.
  • Nina simu tatu kati ya hizo ni moja tu ndio nitumiayo nikiwa na nimpendae.
  • Najenga mahusiano mazuri na rafiki zake pamoja na wazazi wake.
  • Nimehakikisha kazini kwangu hatambuliki hata kidogo.
  • Nikitaka kuchakachua vimada naenda nje kidogo ya Jiji la bongo.
  • Nampitia kila siku kazini kwake wakati wa kurudi nyumbani.
  • Nimehakikisha kazini kwake natambulika mpaka kwa bosi wake.
  • Nimejenga mazingira mazuri yanayoniwezesha kupata taarifa zake.
  • Nimehakikisha naongea nae kwa simu kwa masaa 5 kwa siku.
  • Nimehakikisha kuwa rafiki zangu wa karibu sana hawamjui.
  • Nimehakikisha anatembelea nyumbani kwa wiki mara 4.
Nimeenda Kwa Babu Kupata Kikombe Ili Nisipate Magonjwa sugu, Kwani zinaa inaua.

MY TAKE: CHEATING IS A GAME SOMETIMES YOU WON, SOMETIMES YOU LOOSE.
 
Huwa unaangalia kipindi cha cheaters? Huwa nakipenda sana naona na wewe bado siku yako
 
MY TAKE: CHEATING IS A GAME SOMETIMES YOU WINE SOMETIMES YOU LOOSE.

Jomba rekebisha hapo kwenye blue, inaharibu ujumbe mzuri!
 
Huwa unaangalia kipindi cha cheaters? Huwa nakipenda sana naona na wewe bado siku yako

Naangalia Sana etv Ni kipindi kizuri sana na kule ndiko nilikoiba haya maujuzi Dena.
 
ipo siku utateleza tu.pengine hivyo unavyomfanyia,na yeye anakufanyia hivyo hivyo.ngoma droo
 
Kuna haja, ya kukaa karibu na Mungu,
Ili uwe unaoteshwa nyendo za Mume wako aiseee.
Manake, sasa haya mambo inabidi yaangaliwe kiroho zaidi.

Sura na matendo ya nje yasitudanganye hata kidogo.
 
Hi umerekebisha, but I take it to understand that it should be read as 'sometimes you WIN sometimes you lose'
 
Naomba kuuliza wenzangu, hivi hawa wanaume wanaumiza vichwa vya wanawake namna hii kwa nini?

Kwa nini mke na mume, boyfriend na girlfriend, kila mtu aishi maisha yake, fanya ufanyacho, its is non of the others buzinez. Hakuna kuulizana umetoka wapi, ulikuwa na nani, unaenda wapi, kwa nini this and that. Yaani kila mmoja awe na uhuru wa kujisimamia mwenyewe. Atakayecheat it is up to him. Nadhani kuchungana chungana na kufuatilia ndiko kunasababisha watu kuvunjana mioyo.

Mmekutana wote watu wazima, ya nini kufuatiliana maisha, kuvunjana mioyo na kusababisha kufupisha maisha kwa sababu ya magonjwa yatokanayo?


I have come to a conclusion kwamba kama una mpenzi cheater muache acheat hadi atakapoamua kuacha mwenyewe. Sina muda wa kusumbuana na mtoto wa mwanamke mwenzangu. Kufanya mapenzi bila kinga ni a big no. unless kila week tunaenda kupima ngoma.

Excuse me, sorry.
 
Kuna haja, ya kukaa karibu na Mungu,
Ili uwe unaoteshwa nyendo za Mume wako aiseee.
Manake, sasa haya mambo inabidi yaangaliwe kiroho zaidi.

Sura na matendo ya nje yasitudanganye hata kidogo.

ld inabidi tuombe macho ya rohoni,,,tuone kila move,hata akianza kutamani tu,,lolz
 
  • Thanks
Reactions: LD
ld inabidi tuombe macho ya rohoni,,,tuone kila move,hata akianza kutamani tu,,lolz

Kweli kabisa Wiselady,
Hizi habari zinahitaji macho ya rohoni kabisaaaaaaaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom