Oranoo Member Joined Apr 11, 2020 Posts 56 Reaction score 184 May 16, 2022 #1 Hello habari zenu,kuna simu yangu imeharibika haiwaki kabisa nahitaji kuzipata picha na documents zangu, naomba mnijuze njia ipi nitumie nizirudishe maana sikusave kwenye Google Drive.
Hello habari zenu,kuna simu yangu imeharibika haiwaki kabisa nahitaji kuzipata picha na documents zangu, naomba mnijuze njia ipi nitumie nizirudishe maana sikusave kwenye Google Drive.
saci JF-Expert Member Joined Mar 4, 2014 Posts 239 Reaction score 389 May 16, 2022 #2 Simua aina gani?
Oranoo Member Joined Apr 11, 2020 Posts 56 Reaction score 184 May 16, 2022 Thread starter #3 saci said: Simua aina gani? Click to expand... Tekno boom j8
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 May 16, 2022 #4 Tumia apps inaitwa disk digger sign kwa email then fanya backup.
Oranoo Member Joined Apr 11, 2020 Posts 56 Reaction score 184 May 17, 2022 Thread starter #5 Sawa ngoja nijaribu
Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,154 Reaction score 31,246 May 17, 2022 #6 pwilo said: Tumia apps inaitwa disk digger sign kwa email then fanya backup. Click to expand... Atainstall wapi wakati kasema simu haiwaki 🤣
pwilo said: Tumia apps inaitwa disk digger sign kwa email then fanya backup. Click to expand... Atainstall wapi wakati kasema simu haiwaki 🤣
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 May 17, 2022 #7 pwilo said: Tumia apps inaitwa disk digger sign kwa email then fanya backup. Click to expand... aweke wapi hiyo app?
pwilo said: Tumia apps inaitwa disk digger sign kwa email then fanya backup. Click to expand... aweke wapi hiyo app?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 17, 2022 #8 Ngoja waje kukupa muongozo...